Dua ya kuomba mali na yenye baraka

Kwanza mwanadamu anayeomba Mwenyezi Mungu mmoja wa pekee bila kukata tamaa hakosi majibu na yakikosa kuna heri zaidi atapata baadaye maishani mwake. Usiache kushukuru na kuomba kwani uko hai na maisha ni marefu kuliko umri.

Dua yoyote nzuri ni kuomba heri na baraka katika dunia hii na msamaha wa Mwenyezi Mungu kwani kila mwanadamu anayo madhaifu yake. Dua hii hapa ni kuomba heri duniani na Akhera na kusamehewa

Anza hivi:

“Audhubillah minasheitwani rajiim, Bismillah Rahman Rahiim, Soma suratil Alhamdu yote yaani Alhamdulillah rabil a’rahmiina, arrahman rahiim, malik yaumiddiin iyyakana abudu waiyyakana sitaii’nu ihdina siratwalimustaqiima siratwa lladhiyna an’amta’alahiym ghairil mag dhuubi aleiym wala dhwalliin”

Baada ya hapo

Mswalie mtume hivi: Allahumma swali a’la Muhammad wa a’la alihi Muhammad x11

Baada ya hapo, Muombe msamaha Mwenyezi Mungu kwani kuna mengi tunakosea bila kujua au kwa kujua

Astaghfirullah wa atubu ileiy x 100

Sasa Omba Dua yako kwa lugha yoyote unayamudu ukiwa umetulia na unamuomba yule wa pekee mwenye uwezo wa kila kitu.

Mwisho mswalie mtume na Waombee wazazi wako dua

Unaweza kuomba dua hii

Rabanna atina fiy dun’ya hasanat, wafil akherat hasanat, ina maana unaomba mazuri duniani na pia mazuri uko akhera

Maelezo zaidi

WhatsApp: +255621870342, Simu : +255762053174 WhatsApp pia

Kama unasumbuliwa na kijicho, soma dua kwa makini na tumia dawa hizi

Ugonjwa sugu wapona kwa uwezo wa Mungu mmoja

Miaka zaidi ya 7 anajisikia mwili unawaka moto, anakuta mwili umechanjwa na kuwasha sana. Kichwa kilikuwa kinauma upande mmoja muda wote, choo shida na kuhisi mwili unatembewa na vitu kama sisimizi ila akigusa haoni vitu hivyo

Alipohojiwa na tabibu kuhusu usingizi , akasema alikuwa analala vibaya na akiota ndoto za kutisha wakati mwingine nyoka na kushambuliwa na maadui au kuota analishwa vyakula na hata nyama ndotoni. Familia pia ilikuwa kila mara ugomvi. Jawabu ni ugonjwa unatokana na kulogwa kwani dalili kubwa na za uhakika ni kuota ndoto mbaya na kujisikia huna amani na roho ina wasi wasi. Tunashukuru Mungu mmoja mponyaji alipona na akawa sawa kiafya na kimaisha. Usikate tamaa Mungu anaponya na yuko na wenye kusubiri

Alitumia dawa zifuatazo: Mt32, Powerful oil , Powerful soap, Cleasing herbs na Peace Oil

Mawasiliano: WhatsApp: +255621870342, Simu : +255762053174 WhatsApp pia

Kwa uwezo wa Mungu dawa hizi zinatibu magonjwa mengi

Kila ugonjwa unayo dawa isipokuwa sisi ndo tunakuwa hatuijui bali tunavyoangaika Mungu anatufunulia dawa inayotibu kutokana na mazingira tuliyomo. Mfano kuna dawa zinatibu magonjwa ambayo hospitali wanashindwa kugundua na kutibu mfano dawa ya MT32 imetibu wengi magonjwa mbayo yameshindikana. Dawa hii ni mchanganyiko wa dawa zaidi ya 32 zenye uwezo wa kutibu magonjwa mengi unayojua na usiyojua.

Unatumia makopo matatu ndio dozi yake, kwa uwezo wa Mungu utapona mengi ndani ya mwili wako kama unajisikia hauko sawa, Unatumia kwenye asali au uji au unachemsha kwenye maji na kunywa asubuhi na jioni

Mawasiliano: WhatsApp: +255621870342, Simu : +255762053174 WhatsApp pia

Unawezaje kudhibiti wachawi wasikuloge?

Ukisikia wachawi piga picha kichwani kuwa ni watu wanaojificha na wanashirikiana kutenda maovu bila kuonekana ila kwa dalili kama kuwasikia wanajisema au kuwaota kila mara wanakutisha au wanakulisha vitu au wanakalaumu. Wakati mwingine wachawi ukutana kujadili fomula za kuloga kwa walioshindikana kulogwa!

UKITAKA WACHA WASHINDWE KUKULOGWA ni kumtegemea Mungu mmoja masaa 24 kwa kuhakikisha unamuomba na kujizuia na maasi makubwa kama uzinifu, ushirikina, ulevi, kuua, fitina na dhuluma. Jitahidi kabla ya kula uombe Mungu ukiwa umetulia kwa makini na usifanye kwa mazoea bali kwa umakini kwani Mungu anakuona hata kama wewe humuoni, pili tumia mafuta ya PEACE OIL, na Powerful oil. kama umeisha logwa tumia seti nzima ya dawa 5 yaani za kunywa, kuoga, kupaka kama hizi zifuatazo

Mawasiliano: WhatsApp: +255621870342, Simu : +255762053174 WhatsApp pia

Je uchawi unavuruga maisha ya mtu?

Uchawi unavuruga maisha ya mtu kwani sababu ya kukuloga ndiyo hiyo ikiwemo kuugua au kuharibikiwa au kutumika kama mjinga asiyejitambua. Maisha yako yatavurugika kupitia mikataba ya wachawi na majini au mizimu yenye kutenda kwa maagizo ya wachawi. Kuingilia hata mawasiliano yako na marafiki wazuri na kuwafanya wakuchukie na kuharibu mahusiano yote muhimu kwako kwa njia za ajabu. Si rahisi kugundua kuwa unalogwa kama hujaugua au kuota ndoto za ajabu bali utaona kila kitu unachoanzisha hakifanikiwi na utahisi kukata tamaa. Mwili wa mwanadamu ukishalogwa na kichwa kikakaliwa na majini au mapepo hasa sehemu ya ubungo inayoitwa control centre basi utadhibitiwa kichawi kila maamuzi yako, utaepuka haya kama unamuabudu Mungu mmoja kiuhakia na kujizuia madhambi makubwa ya kufanya makusudi kama kuzini, kuiba, ushirikina, fitina, kuzushia watu uongo, ulevi, mauaji.

Uchawi ni kitu mbaya ndiyo maana vitabu vya dini hasa Taurati na Qur’an imetaja uchawi ni mbaya sana na umezuiwa kwa mkazo mkubwa hadi mafundisho ya kumuua mchawi yako ndani ya Biblia agano la kale na wafuasi wa mtumu Muhammadi kwa mafundisho yake waliwaua wachawi. Ulaya sheria ya kuua wachawi ilikuwepo labda ilitolewa baadaye. uchawi ni mbaya hauna ushahidi kisheria ila umetesa wengi, mtegemee Mungu mmoja wa pekee na kama unalala vibaya na kuota ndoto mbaya za kutisha tumia Peace oil na Powerful soap yaani sabuni yenye dawa ya kuoga. Kumbuka Mungu kaumba mimea na vitu vyote tuvitumie vizuri kwa manufaa yetu na tumshukuru sana yeye wa pekee bila kumshirikisha

Mawasiliano: WhatsApp: +255621870342, Simu : +255762053174 WhatsApp pia

Dalili kubwa za uchawi wa hali ya juu

Ukiona mtu anabisha kuwa hakuna uchawi usimshangae kwani uchawi umetajwa na ulikuwepo enzi za manabii kama Suleiman, Musa, Muhammad na wengine. Biblia na Qur’an zimeutaja uchawi, tunaona Nabii Musa alivyokwenda Kwa Farao/Firauni kumpa ujumbe wa Mungu mmoja wa pekee na kutoa miujiza mikubwa kutoka kwa Mungu muweza, Farao hakuamini kuwa miujiza ya nabii Musa imetoka kwa Mungu mmoja aliyeumba kila kitu bali alisema ni uchawi! Waliitwa wachawi wakali wa nchini Misri ili waje wamkomoe nabii Musa. Walipanga siku maalum na walipokuja wachawi mastaa kabisa na wakafanya uchawi wao Musa akatupa fimbo yake chini na ikawa nyoka na kumeza vijoka vyao vya kichawi mara moja! Wachawi wakashindwa na baadhi yao wakasarenda na kumtii Mungu wa Musa na Haruna.

Dalili kubw za kulogwa ni:

Ndoto mbaya na za kutisha

Kuhisi umekata tamaa

Kama ni binti amekuwa na amemaliza chuo hapati wa kumuoa

Kuharibikiwa kial jambo bila sababu

Kuhisi huna hamu ya tendo la ndoa hasa kwa walio kwenye ndoa

Kuota unafanya ngono mara kwa mara

Kuhisi wasi wasi bila sababu na utadhani unatafutwa kama mtuhumiwa

Kuota mara kwa mara uko shule ingawa ulimaliza siku nyingi shule

Kuuma meno na kustuka stuka usingizini kama kusisimuka

Kuota uko makaburini mara kwa mara au hata siku moja

Kuota uchafu au uko chooni

Kuota marehemu waliokufa siku nyingi mnaongea au wako kimya

Kuwa na kiburi sana

Kupenda kuzini na hata kutamani jamaa zako wa karibu

Kama unazo baadhi zinakusumbua muombe Mungu kila mara na tumai dawa hizi

Mawasiliano: WhatsApp: +255621870342, Simu : +255762053174 WhatsApp pia

Kwa nini uchawi umekithiri?

Sababu ni upotovu na husuda kwa wanadamu, mwanadamu ni kiumbe mwenye kubadilika muda wowote na ibilisi anamtafuta masaa 24 ili ampoteze. Tamaa na wivu wa kijinga unapelekea baadhi ya watu kuwachukia wenzao na kuwaonea husuda kisha kuwaloga kwa kushirikiana na mashetani, majini pia wachawi waliokithiri na kumshirikisha Mungu mmoja wa pekee. Dawa kubwa ya kuzuia usidhurike na uchawi ni kumuomba Mungu mmoja wa pekee muda wote na hasa kabla ya kulala na kutoka nje ya nyumba yako. Jitahidi kutoamini kila mtu na kuwambia watu mafanikio yako au kuposti kila kitu kwenye mitandao. Hii inaongeza husuda kwa wabaya na kuanza kukufanyia hasidi kubwa na mwisho kukuloga. Halogwi asiye na kitu au asiye na mafanikio , yawe ya kuzaa watoto, akili, cheo, biashara, n.k.

Ukihisi umelogwa kutokana na dalili hizi:

  • Kuhisi mwili wako mchovu kila siku na hauna malaria wala typhoid wala UTI
  • Kuhisi umechanganyikiwa hata kama uko sawa kwa muonekano
  • Kukwama kila jambo bila sababu za msingi
  • Kuvurugwa kindoa
  • Kupenda sana kulala na kuchukia kazi
  • Kuchukiwa na watu wengi
  • Kukosa uso wenye nuru na kukata tamaa kimasiha
  • Kuota ngono kila mara
  • Kukosa hamu ya tendo la ndoa
  • Kukosa hamu ya kufanya kila kitu
  • Kupoteza vitu mara kwa mara
  • Kuhisi mgongo kuna kitu
  • Kuhisi vitu vinatembea mwilini
  • Kuhisi joto miguuni
  • Kuota nyoka, paka, wanyama wakali
  • Kuota unajisaidia mara kwa mara
  • Kuota uko msituni
  • Kuota unapaa
  • Kuota unakimbizwa na maadui
  • Kuota uko kwa waganga
  • Kuota marehemu na unaongea nao
  • Kulegea viungo bila sababu

Usiogope bali muombe Mungu mmoja wa pekee asubuhi na jioni na tumia dawa hizi

Mawasiliano: WhatsApp: +255621870342, Simu : +255762053174 WhatsApp pia

Ndoto ni ujumbe wa uhakika maishani

Kuna ndoto za kawaida hizo ziache ila ndoto za ajabu au zenye kukuchanganya usizipuuzie, mfano kuota nyoka mweusi au njano au nyoka wa rangi yoyote si jambo la kawaida. Hilo ni jini na inategemea umemuota na akafanya nini zidi yako. Ukiota anakuuma basi amekuingia na ukiota mko wote na wala hakuumu basi alishatawala mwili wako. Nyoka ni ishara ya Ibilisi kwani Adamu na Mke wake walidanganywa na nyoka akiwa kama ibilisi aliyejibadilisha. Ukiota nyoka mara kwa mara jitahidi kuomba Mungu mmoja wa pekee na tumia dawa zifuatazo kufukuza nyoka huyo ndotoni yaani si nyoka ni jini au mizimu.

Mafuta haya na sabuni hii ndo kiboko wa ndoto zote za kutisha ikiwemo nyoka na kufanya mapenzi ndotoni

Mawasiliano: WhatsApp: +255621870342, Simu : +255762053174 WhatsApp pia

Ndoto mbaya zimeacha

Mama mmoja alikuwa usiku anaota ndoto mbaya kama:

  • Kuota anafanya tendo la ndoa usingizini
  • Kuota anapaa
  • Kuota waliokufa mara kwa mara
  • Kuota anakula au analishwa vitu
  • Kuota nyoka
  • Kuota anafukuzwa na wanyama wakali au maadui
  • Kuota yuko shule ingawa si mwanafunzi
  • Kuota yuko sehemu chafu
  • Kuota ndoto zisizoeleweka ila za kutisha
  • Kustuka stuka usingizini

Ndoto hizi zilikoma kwa kutumia dawa zifuatazo

Mawasiliano: WhatsApp: +255621870342, Simu : +255762053174 WhatsApp pia

Kukosa mchumba bila sababu

Ndoa ni heshima kwa waliofikia umri wa kuoa au kuolewa, mtihani mkubwa uko kwa wanawake, msicha au mwanamke kupata mume siku hizi ni kazi ngumu. Kuzini, kusagana, usenge na machafu yametawala na hayo yapo katika jamii. Kuzini imekuwa kawaida hadi kijana au mwanaume bila kuzini kwanza na mchumba hawezi kuridhika hadi amuonje kwanza. Akizini na kuona ladha hajaipenda ndipo umtelekeza bila kufunga ndoa na umwambie anajipanga hadi wanachokana na kuamua kuanzisha uzinzi na wengine kila mtu kivyake. Huwezi ukavunja amri za Mungu muweza na hujidai unakwenda msikitini au kanisani kila siku ukidanganya watu wasiojua siri eti upate baraka, ukiacha kuzini na ukaleta toba ya kweli utafunguliwa njia na utaoa au kuolewa. Nyie mabinti, wanawake kwanini mnavua chupi zenu kwa wanaume bila kufunga ndoa halali?

Huwezi ukawa na hamu ya kufunga ndoa kama huyo unayemuita mchumba mnazini kila siku, hakuna kipya tena kwani kitu kilichofichwa kuonekana machoni kirahisi uwa na thamani! Ficheni chupi zenu enye wanawake mtaona ukweli huu, eti mchumba ila mnazini kisha huolewi na unalalamika, baraka haipo hapo.

Kukosa Mchumba kwa sababu ya kulogwa na jamii inayokuzunguka yenye wivu na husuda

Ndiyo, kuna watu wanalogwa wasioe au kuolewa endapo watajitahidi kuanza hatua za ndoa inaingia hili mara lile na wanakwama. Utashangaa mtu anazidi kuzeeka ila haoi na hana mpango wa kuoa. Kuna mwingine akipata mchumba baada ya muda wanaachana.

Kuna mwanamke hajafikia miaka hata 30 ila katoka nyumba zaidi ya 4 kwa kuachika, hapa kuna jambo la kuangalia kwa makini. Kwanza tabia yake au ya mume vinaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa sana ila ikiwa tabia hizo zinaambatana na ugomvi wa kila mara bila sababu kubwa basi kuna shetani wa kichawi anaingilia kati kuvuruga ndoa ya wahusika. Dalili za mtu aliyelogwa asioe au kuolewa

  • Kuogopa kuolewa au kuoa bila sababu ya msingi
  • Kuota anafunga ndoa mara kwa mara
  • kuota anagombana na mchuma wake
  • Wakikutana kuna mmojawapo anapatwa na hasira na hapendi kukaa naye kwa muda mrefu
  • Kumuona anayo sura mbaya
  • Kumchukia mchumba bila sababu na kuacha mawasiliano naye ghafla
  • Kuingilia ndoa na ndugu, jamaa na kusema kuwa hawataki ndoa ifanyike kwa sababu ndogo tu
  • Kuahirisha ndoa ikiwa imekaribia kufanyika, mmojawapo upata maradhi au ufukuzwa kazi au kukwama au bila sababu ya wazi

Tunashukuru Mungu mmoja wa pekee ni msaidizi wa kila mtu endapo utamtegemea kwa dhati muda wote na ukatumia dawa zifuatazo:

Mawasiliano

+255762053174 WhatsApp pia

Email: tibaherbs@gmail.com